iqna

IQNA

Abdul Malik al-Houthi
Vita vya Saudia dhidi ya Yemen
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya muqawama (mapambano) ya Ansarullah ya Yemen ameushauri muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia kuchukua fursa ya usitishaji vita ili kukomesha uvamizi wake dhidi ya Yemen sambamba na kusitisha mzingiro wake dhidi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3475675    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/24